ASKOFU STEFANO MUSOMBA OSA WA JIMBO KATOLIKI LA BAGAMOYO PAMOJA NA KAMATI YA MARIATHON PAROKIA YA MIVUMONI KATIKA UFUNGAJI WA MARIATHON JIMBO LA BAGAMOYO

ASKOFU STEFANO MUSOMBA OSA WA JIMBO KATOLIKI LA BAGAMOYO PAMOJA NA KAMATI YA MARIATHON PAROKIA YA MIVUMONI KATIKA UFUNGAJI WA MARIATHON JIMBO LA BAGAMOYO
Askofu Stefano Lameck Musomba OSA wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Mkurugenzi wa Radio Maria Tanzania Padre Dominic Mavula, Paroko na Paroko Msaidizi Parokia ya Mt. Maria De Mattias Mivumoni ambao ni Mkurugenzi wa Utume wa Walei Padre Francis Pastory Malele na Mkurugenzi wa Mashirika ya Kipapa na Utoto Mtakatifu Padre Aidan Kadudu pamoja na kamati ya Mariathon Parokia ya Mivumoni katika ufungaji wa Mariathon Jimbo la Bagamoyo