IBADA YA KUABUDU EKARISTI TAKATIFU
... Soma Zaidi
Kwa niaba ya waamini wa Parokia ya Mtakatifu Maria De Mattias – Mivumoni, Niwakaribishe kutembelea tovuti yetu. Parokia ya Mtakatifu Maria De Mattias ni mojawapo ya Parokia za Jimbo Kuu la Dar es Salaam. Parokia ipo eneo la Mivumoni, kata ya Wazo, katika jiji la Dar es Salaam, Tanzania. Parokia hii inaadhimisha ibada zote kwa kufuata litrijua na miongozo yote ya Kanisa Katoliki. Tunawakiribisha waamini wote na wenye mapenzi mema kufika na kuja kusali pamoja nasi na kushiriki kwa pamoja katika kutakatifuza maisha yetu. Mwenyezi Mungu, anatupenda tuwe na upendo na tuweze kupendana kati yetu, kwa kushirikishana Ufalme wa Mungu na kufanya maisha ya hapa duniani kuwa ya upendo na amani. Soma Zaidi
Paroko,
Padre Edwin Kigomba
... Soma Zaidi