TANGAZO LA VIJANA

Kutakua na wiki ya Vijana itakayoanza tarehe 08 hadi 17 Agosti 2025. Kutakuwa na mkesha wa kuabudu Ekaristi Takatifu, Novena, Matendo ya upendo, Semina na kuhitimisha na Misa Takatifu. Tarehe 08 hadi 09 Agosti 2025 tutakua na mkesha wa kuabudu Ekaristi Takatifu tutakafanyia hapa Parokiani.