IBADA YA KUABUDU EKARISTI TAKATIFU
IBADA YA KUABUDU EKARISTI
Ibada hii huazimishwa kila Alhamisi kuanzia saa kumi alasiri ikifuatiwa na adhimisho la Misa Takatifu na baadae Rozari katika Groto la Mama Bikira Maria.
Ibada hii ya kuabudu Ekaristi Takatifu huudhuriwa na waumini wengi ambao kwa nia zao mbalimbali huleta maombi maalumu kwenye bahasha na kuweka Altareni kwa ajili ya kuwaombea Marehemu wao.