IBADA YA KUABUDU EKARISTI TAKATIFU


IBADA YA KUABUDU EKARISTI TAKATIFU

IBADA YA KUABUDU EKARISTI TAKATIFU

IBADA YA KUABUDU EKARISTI

Ibada hii huazimishwa kila Alhamisi kuanzia saa nane mchana ikifuatiwa na adhimisho la Misa Takatifu na baadae Rozari katika Groto la Mama Bikira Maria.

Ibada hii ya kuabudu Ekaristi Takatifu huudhuriwa na waumini wengi ambao kwa nia zao mbalimbali huleta maombi  maalumu kwenye bahasha na kuweka Altareni kwa ajili ya kuwaombea Marehemu wao.

Muda: Ni kuanzia saa tisa kamili mpaka saa kumi na mbili na nusu.

Mahali: Katika kanisa la maria de mattias-mivumoni.

View Service Hours