BABA PAROKO ABARIKI NA KUZINDUA KUANZA KWA UJENZI WA KIGANGO CHA KWANZA CHA PAROKIA YA MT. MARIA DE MATTIAS CHA MALAIKA WAKUU


BABA PAROKO ABARIKI NA KUZINDUA KUANZA KWA UJENZI WA KIGANGO CHA KWANZA CHA PAROKIA YA MT. MARIA DE MATTIAS CHA MALAIKA WAKUU

Tarehe 25/05/2024 ndio siku rasmi ambapo hafla ya kuanzwa kwa ujenzi ilianza ikitanguliwa na Ibada ya Misa Takatifu iliyoongozwa na Baba Paroko Edwin Kigomba katika kiwanja cha Parokia kilichopo maeneo ya Kanda ya Galilaya.. Kwa picha zaidi tembelea ukurasa wetu wa matkaba ya picha.

Tarehe 25/05/2024 ndio siku rasmi ambapo hafla ya kuanzwa kwa ujenzi ilianza ikitanguliwa na Ibada ya Misa Takatifu iliyoongozwa na Baba Paroko Edwin Kigomba katika kiwanja cha Parokia kilichopo maeneo ya Kanda ya Galilaya. Kwa picha zaidi tembelea ukurasa wetu wa matkaba ya picha.

View Service Hours