JUBILEE YA MIAKA 10 YA PAROKIA YA MTAKATIFU MARIA DE MATTIAS TANGU ILIPOTANGAZWA KUWA PAROKIA

JUBILEE YA MIAKA 10 YA PAROKIA YA MTAKATIFU MARIA DE MATTIAS  TANGU ILIPOTANGAZWA KUWA PAROKIA

MWAKA 2014 JULAI NDIPO ILIPOTANGAZWA KUWA PAROKIA. HATIMAYE KILELE CHA MIAKA KUMI NI MWAKA 2024 AMBAPO JULAI MWAKA HUU 2024 IMETIMIZA MIAKA 10. TEMBELEA UKURASA WETU WA MAKTABA YA PICHA KUJIONEA SHAMRASHAMRA ZA MATUKIO MBALIMBALI NA IBADA YA MISA TAKATIFU WAKATI WA KILELE CHA SHEHERE HIZO.

View Service Hours