WANAPAROKIA WAKIWA KATIKA HIJA KIBEHO - RWANDA

Baada ya ziara ya kiroho na mafanikio kule nchini Vatikani Roma kutembelea, kuona masalia na sehemu alikozaliwa Mtakatifu Maria De Mattias. Wanaparokia wakiongozwa na Baba Paroko Edwin Kigomba wafanya ziara nyingine ya ya Kitume ya kutembelea Kibeho nchini Rwanda sehemu ambayo Mama Bikira Maria alionekana. Kwa picha mbalimbali tembelea ukurasa wetu wa maktaba ya picha.

View Service Hours